Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, yamuachia huru Mbunge wa Kilombero-Chadema

Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, imemuachia huru mbunge wa Kilombero kupitia chama cha demockrasia na maendeleo (Chadema) Peter Lijualikali.

Lijualikali amekutwa hana hatia katika kesi hiyo ambayo alihukumiwa kifungo cha miezi sita kwa kosa la kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015.

Hata hivyo mawakili wake walikata rufaa na leo mahakama imemuona hana hatia katika madai hayo.

About RHN 87.5FM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *