Watoto 20 wafariki dunia Afrika Kusini

akriban watoto 20 wamefariki katika ajali ya barabarani katika mkoa wa Mpumulunga nchini Afrika Kusini kaskazini mwa mji mkuu wa Pretoria. Kulingana na chombo cha habari cha Reuters, basi dogo walilokuwa wakisafiria liligonga lori na kulipuka. Russel Meiring ,ambaye ni msemaji wa shirika la matibabu ya dharura ER24 ameambia Reuters kwamba watoto 20 walikuwa ndani […]

Read More

Upinzani waanzishwa upya Ivory Cost

Nchini Ivory Cost upinzani umeanzisha toka siku ya Alhamisi, Aprili 20, muungano mpya. Vyama vinne pamoja na vyama vingi vya wafanyakazi na mashirika ya kiraia yameunda muungano mpya (ESD) Georges Armand Ouégnin ndiye alituliwa kuwa kiongozi wa muungano huo. Baada ya Muungano wa CNC, na Front du refus, vyama vingine vya upinzani vimeanzisha muungano mpya […]

Read More

SADC yaanza upatanishi

Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imeanza upatanishi kati ya pande husika katika mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Makubaliano ya Saint-Sylvestre na utekelezaji wake ni moja ya vipengele muhimu vitakavyogubika mazungumzo hayo. Jaribio hili jipya la kutaka kumaliza mgogoro wa kisiasa nchini DRC linakuja baada ya rais Joseph […]

Read More

Mwili Dkt. Elly Macha waagwa leo katika viwanja vya Bunge

Bunge la Tanzania leo limesitisha shughuli zake ili kuweza kutoa fursa kwa waheshimiwa wabunge waweze kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Chadema Dkt. Elly Macha aliyefariki dunia katika hospitali ya New Cross, nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu. Katika kile kilichoonekana kuwa  ratiba za kawaida za bunge zisiharibike Spika wa Bunge wa Jamhuri ya […]

Read More

TAKUKURU – Rukwa,yafanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Milioni 71

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa ya TAKUKURU mkoani Rukwa,imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Milioni 71,baada ya kufuatilia mchezo mchafu uliokuwa ukiendelea kwenye Halmashauri zote nne za mkoa huo, na kubaini malipo yaliyofanywa kwa wafanyakazi ambao tayari walikuwa wameshastaafu. Naibu Mkuu wa taasisi hiyo ya TAKUKURU mkoani Rukwa Bw Ching’oro Samamba,akitoa taarifa mjini sumbawanga […]

Read More

Vyanzo vya Maji vya Mto Ruaha Mkuu vyaisaidia TANESCO

Shirika la umeme Tanzania TANESCO limesema kuwa utunzaji wa vyanzo vya maji vya mto Ruaha Mkuu ambavyo vinapatikana wilaya za Wanging’ombe na Makete Mkoani Njombe unasaidia kuongeza Maji yanayohitajika katika ufuaji wa umeme kwenye mabwawa ya Mtera na Kidatu. Kaimu mkurugenzio mtendaji wa TANESCO Dr Tito  Mwinuka akiwa katika ziara ya kikosi kazi maalumu kilichoundwa […]

Read More

Madereva na abiria wa pikipiki wilayani Mbulu wameusiwa kuvaa Helmet

Wananchi wilayani mbulu mkoani manyara hususani dereva na abiria wa pikipiki wameaswa kuvaa element ili kujikinga na ajali ambazo mara nyingine hupelekea vifo vinavyosababisha upungufu wa nguvu kazi ya taifa . Hayo yamesemwa na ASP Angela John Lameck mkuu wa kituo police mbulu na amesema uvaaji wa element kwa dereva wa pikipiki na abiria ni […]

Read More

Wanasiasa wawili mashuhuri wa upinzani nchini Zimbabwe kumpindua Mugabe

Wanasiasa wawili mashuhuri wa upinzani nchini Zimbabwe wamekubaliana kuungana dhidi ya Rais Robert Mugabe. Morgan Tsvangirai na Makamu wa Rais wa zamani Joice Mujuru wamesema watashirikiana pamoja kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao. Hata hivyo haijabainika nani atakua mgombea Urais kati ya wawili hao. Bwana Mugabe wa miaka 93 amekua madarakani tangu Zimbabwe kunyakua uhuru kutoka […]

Read More

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA kutoa Mgombea

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA umesema kuwa utamtangaza atakayeshikilia bendera yake ya urais mnamo tarehe 27 mwezi Aprili 2017. Akizungumza katika mkutano wa kumlaki gavana wa kaunti ya Bomet Isack Ruto kujiunga na muungano huo kama mmoja wa viongozi wakuu wa chama hicho, waziri wa zamani wa maswala ya kigeni ambaye pia ni seneta […]

Read More