Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumteua waziri mkuu

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo anatarajiwa kumteua Waziri Mkuu, licha ya upinzani ambao ulipaswa kutoa jina hilo, kugawanyika, juu ya nani atakayeteuliwa. Mpaka sasa upinzani umegawanyika pande mbili, ukiwemo ule unapinga kuteuliwa kwa Felix Tshekedi licha ya kuongoza kundi kubwa na upande mwingine ni wanaomuunga aliyekuwa mshauri mkuu wa marehemu […]

Read More

Maandamano ya wapinzani Afrika Kusini yapamba moto

Maandamano ya vyama vya upinzani Afrika kusini pamoja na kundi linalojiita Save South Africa yameanza katika kumshinikiza Rais Jacob Zuma ang’atuke madarakani. Maandamano hayo yamepangiwa kufanyika nchi nzima. Wanajeshi wa uMkhonto we Sizwe maarufu MK wametawanywa kushika doria nje ya makao makuu ya chama cha ANC mjini Johannesburg. Waziri anayeshughulika na masuala ya polisi nchini […]

Read More

Vijana 32 wapatiwa mafunzo ya usindikaji vyakula na vinywaji-Hanang’

Vijana 32 waliopatiwa mafunzo ya usindikaji vyakula na vinywaji wilayani Hanang’ mkoani Manyara wamesema ujuzi huo utawawezesha kuanzisha miradi midogo ya usindikaji na kujikwamua kiuchumi. Mafunzo hayo yameendeshwa na Shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) mkoa wa Manyara kupitia mradi wa fursa kwa vijana kwa lengo la kuwapatia ujuzi wa ujasiriamali vijana wenye umri kati […]

Read More

Watanzania wameadhimisha kumbukumbu ya miaka 45-Karume Day

Watanzania wameadhimisha kumbukumbu ya miaka 45 baada ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905  na alifariki dunia siku kama ya leo mwaka 1972 kwa kupigwa risasi. Atakumbukwa kuongoza Zanzibar baada ya mapinduzi, ya kumwangusha Sultan mwenye asili ya kiarabu aliyekuwa akitawala kisiwa hicho kufikia […]

Read More

Serikali imeahidi kutopoke amradi wa barabara ya Manyara- Dodoma

Serikali imeahidi kutopoke amradi wa bara bara ya Manyara- Dodoma  inayojengwa kwa kiwango cha lami endapo mkandarasi atashindwa kutimiza ujenzi kwa kiwango kama walivyokubaliana kwenye mkataba wao. Akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Manyara Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa lengo la kutembelea ujenzi huo  mara kwa mara ni […]

Read More