MISA YA KUMUAGA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA TUNDURU-MASASI MAREHEMU CASTOR PAUL MSEMWA YAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI LA BARAZA LA MAASKOFU JIJINI DAR ES SALAAM

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Paul […]

Read More

Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki Tunduru- Masasi afariki dunia

  Jimbo Katoliki Tunduru Masasi nchini Tanzania linasikitika kumpoteza mpendwa wao Baba Askofu¬† Castory Msemwa aliyefariki tarehe 19 Oktoba 2017, saa 7 mchana nchini Oman. Kwa mujibu wa Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi, Padri Jordan Liviga, anasema, Askofu Msemwa amefariki dunia akiwa mjini Muscat (Oman), wakati wa safari ya kwenda nchini India […]

Read More

Wakenya 3 waenda mahakamani kusitisha uchaguzi

Image captionMahakama ya juu nchini Kenya Mahakama ya juu nchini Kenya itatoa uamuzi wa muda wa mwisho kuamua iwapo marejeleo ya uchaguzi wa urais yanaweza kufanyika siku ya Alhamisi. Mahakama hiyo itasikiza ombi la dharura siku ya Jumatano kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unafutiliwa mbali siku moja kablka ya kufanyika kwa uchaguzi huo. Hatua hiyo inajiri […]

Read More

Xi Jinping: Kiongozi mwenye nguvu zaidi nchini China tangu kipindi cha Mao Zedong’

Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionBw Xi alishiriki kupiga kura Jumanne Chama cha Kikomunisti nchini China kimepiga kura kujumuisha falsafa zake Xi Jinping katika katiba na kumuinua hadi kifikia kiwango alichokuwa nacho mwanzilishi Mao Zedong. Kura hiyo ya kuunga mkono kuandika fikra zake Xi Jinping, ilifanyika wakati wa kukamilika kwa mkutano mkuu wa chama cha Kikomunisti […]

Read More

Mahakama nchini kenya yatoa yatoa tamko kuhusu uchaguzi

Mahakama ya juu nchini Kenya itatoa uamuzi wa muda wa mwisho kuamua iwapo marejeleo ya uchaguzi wa urais yanaweza kufanyika siku ya Alhamisi. Mahakama hiyo itasikiliza ombi la dharura siku ya Jumatano kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unafutiliwa mbali siku moja kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo. Hatua hiyo inajiri baada ya mahakama hiyo kufanya uamuzi […]

Read More

TCU yatoa tamko

Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ¬†Profesa Eleuther Mwageni amesema wanafunzi wenye vigezo vya kujiunga na elimu ya juu wanatakiwa kuripoti chuoni Oktoba 30 ili kuanza masomo yao. Prof.Mwageni ameyasema hayo leo wakati anatoa ufafanuzi juu ya tarehe ya kufunguliwa kwa vyuo kutokana na mkanganyiko ambao wameupata baadhi ya wanafunzi wanaojiunga […]

Read More

Mwenyekiti wa mtaa-Tanesco Wilayani Mbulu, Manyara

Mwenyekiti wa mtaa wa Tanesco wilayani mbulu mkoani manyara Joseph Paul ametoa wito kwa wakazi wote wa mtaa huo kulinda mazingira yao. Akizungumza na kituo hiki,Bw Paul ni vyema wananchi wakatunza mazingira yao hasa vyanzo vya maji ilikujikinga na milipuko ya magonjwa inayoweza kujitokeza. Mwenyekiti ametoa rai hiyo baada ya mtu mmoja asiye julikana kujisaidia […]

Read More

Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan na viwanda nchini

Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Tanzania imedhamiria kuanzisha na kukuza viwanda ili kukidhi mahitaji ya wananchi. Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Umoja wa Mataifa Duniani hii leo,Bi Samia amesema serikali itashirikiana na viongozi wa umoja wa kimataifa ili kuhakikisha changamoto¬† za uwekezaji zinatatuliwa . Bi samia amelitaka shirika hilo kuweka […]

Read More