Janeth Masaburi Aapishwa Rasmi Kuwa Mbunge  

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuapisha  Janeth Masaburi kuwa mbunge. Janeth aliingia bungeni akisindikizwa na wabunge wanawake wa CCM. Rais John Magufuli, Oktoba 21,2017 alimteua Janeth kushika wadhifa huo. Janeth ni mke wa marehemu Dk Didas Masaburi aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam. Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Dk Masaburi aligombea […]

Read More

Nape: CCM ikikataa kuambiwa ukweli ndiyo mwanzo wa kuanguka

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ameonya kuwa endapo chama hicho hakitataka kuambiwa ukweli na kukosolewa, utakuwa mwanzo wa kuanguka kwake. Nape aliyewahi kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, amesema endapo CCM itaua utamaduni wa kukosoana kupitia vikao itapoteza mwelekeo. “Hiki chama tukifika mahali tukaanza kufanyiana unafiki kwamba hatutaki kuambiana […]

Read More

Magufuli: Tanzania sio shamba la kuchungia mifugo wa taifa jirani

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesisitiza kuwa serikali yake itaendelea kuwakamata mifugo watakaoingia nchini humo kutoka taifa jirani. Akizungumza katika mkoa wa Kagera ambako ameanza ziara yake ya kikazi Magufuli amesema kwamba Tanzani sio shamba la kuchungia mifugo ya nchi jirani na kwamba ataichukulia mifugo hatua kali za kisheria mifugo yoyote. Vilevile ameitaka nchi […]

Read More