RPC Manyara atembelea Ofisi za Radio Habari Njema

Month: April 2019

RPC Manyara atembelea Ofisi za Radio Habari Njema

[huge_it_slider id=”6″] Furahia matukio katika picha ambapo leo Tarehe 6 -04-2019,Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Augustino Senga amefika Redio Habari Njema na kuzungumzia masuala mbalimbali ya hali ya usalama katika Mkoa wa Manyara. Akiwa ameandamana na timu ya makamanda wa usalama Mkoa na wilaya ya Mbulu Naye alikuwa na haya ya kusema:   Sisi pamoja na kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara tunasema”Manyara bila uhalifu inawezekana,Tutii sheria bila shuruti “wewe je? Sikilizia hapa Z0000076 Toa maoni yako

Continue Reading

Ujumbe wa Papa Francis: Mungu anawapenda , Kanisa linawahitaji

Kristo ni hai na anataka uwe hai! “Mstari wa ufunguzi wa Ushauri wa Mitume uliweka sauti na maudhui ya ujumbe wa Papa. Lakini mistari ya kufungwa ni nini kufanya hati hiyo kuwa “ushauri” kwa maana halisi ya neno: “Kanisa inahitaji umuhimu wako, intuitions yako, imani yako”, anaandika Papa Francis “. “Na unapokuja ambapo hatujafikia, uwe na uvumilivu kusubiri kwetu”. Ujumbe wa Papa Francis hauzungumziwi kwa vijana tu, bali pia kwa “watu wote wa Mungu”. Papa anasema alikuwa “ameongozwa na utajiri wa kutafakari na mazungumzo” yaliyotokea katika Sinodi ya Oktoba iliyopita, juu ya kichwa cha “Vijana, Imani na Ujuzi wa Maarifa”,

Continue Reading

Serikali Kuendelea Kuimarisha Upatikanaji Wa Maji Safi Na Salama Nchini

Serikali imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi waishio mijini kufikia asilimia 95 na vijijini asilimia 85 ifikapo 2020. Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Hassan Suluhu wakati wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Aprili 2, 2019 zilizofanyika uwanja wa Kimondo – Forest Mlowo, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe. Kauli mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2019 isemayo “Maji ni Haki ya kila Mtu, Tutunze Vyanzo Vyake na Tukumbuke Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa” Makamu wa Rais amesema kuwa dhamira ya

Continue Reading

Onyo kwa Wakurugenzi latolewa na Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaonya Wakurugenzi ambao watanaoesha nia kudai ushuru kufuatia uamuzi wa Serikali, kununua zao la korosho kwa bei elekezi ya shilini 3300, baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya wakulima na wafanyabiashara wa korosho.  Magufuli ametoa kauli hiyo akiwa mkoani Mtwara wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara kutoka Mtwara kuelekea Newala na Masasi, ambapo amesema serikali haiwezi kuamua kuwasaidia wananchi halafu Halmashauri ijitokeze kutaka ushuru. “Halmashauri mmeshindwa kusimamia korosho, baada ya kupewa bei nzuri wanapewa 1500, tukasema hapana tukakopa ili tuwalipe,

Continue Reading