RPC Manyara atembelea Ofisi za Radio Habari Njema

[huge_it_slider id=”6″]

Furahia matukio katika picha ambapo leo Tarehe 6 -04-2019,Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Augustino Senga amefika Redio Habari Njema na kuzungumzia masuala mbalimbali ya hali ya usalama katika Mkoa wa Manyara.

Akiwa ameandamana na timu ya makamanda wa usalama Mkoa na wilaya ya Mbulu

Naye alikuwa na haya ya kusema:

 

Sisi pamoja na kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara tunasema”Manyara bila uhalifu inawezekana,Tutii sheria bila shuruti “wewe je?

Sikilizia hapa Z0000076

Toa maoni yako

About RHN 87.5FM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *