Corona yaongezeka Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya corona na kuamuru shule zote zifungwe. Rais Uhuru ameamuru shule zote za  kutwa kufungwa kuanzia siku ya Jumatatu. Shule za mabweni zimepewa muda hadi Jumatano kuhakikisha wanafunzi wote wanarejea nyumbani kwao kwa sababu ya homa ya Corona. Vyuo vikuu na vile […]

Read More

Dr. Bashiri Ateta

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, aache kutapatapa na kwamba anahitaji kufanyiwa ushauri wa kisaikolojia ili aweze kuwa sawa. Dr Bashiru Ameyasema hayo wakati akizungumza  katika mahojiano yake na Gazeti la Mwananchi leo tarehe 2 Machi 2020 jijini Dar es Salaam […]

Read More

Tuhuma kwa Meya – Iringa

Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka. Hatua hiyo imefika baada ya wajumbe 19 wa Baraza la Madiwani la manispaa hiyo, kusaini maombi wakitaka kifanyike kikao maalum cha kujadili kumng’oa madarakani. Kulingana na barua iliyosainiwa Jumatatu, Machi 2, 2020 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya […]

Read More