Kardinali Becciu Ajiuzulu; Aondolewa Haki Za Ukardinali!

Papa Francisko ameridhia ombi la kujiuzulu kutoka madarakani lililowasilishwa kwake na Kardinali Giovanni Angelo Becciu, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la kuwatangaza waamini kuwa Wenyeheri na Watakatifu pamoja na kumwondolea haki zote alizokuwa nazo kama Kardinali. Hiyo ni taarifa iliyotolewa mjini Vatican. Kardinali Giovanni Angelo Becciu, alizaliwa tarehe 2 Juni 1948. Na Padre Richard A. […]

Read More

Taarifa Kwa Umma Toka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kuhusu Zoezi La Kupitia na Kufanya Uamuzi wa Rufaa za Wagombea Ubunge

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa Wasimamizi mbalimbali wa Uchaguzi nchi nzima. Kifungu cha 40(6) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, kinatoa fursa kwa wagombea wa Ubunge kukata rufaa wanapokuwa hawajaridhika na uamuzi wa Wasimamizi […]

Read More

Waziri Mkuu Mstaafu Pinda azindua Kampeni za Ccm Babati Mjini, amnadi Gekul.

Mlezi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Manyara, Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda amewataka watanzania waendelee kukiamini chama hicho kwa kuwapigia kura Madiwani,Wabunge na Rais ifikapo Oktoba 28,2020. Ameyazungumza hayo Mjini  Babati  wakati akimnadi kwa wananchi wa mji huo  mgombea ubunge Paulina Gekul katika mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa […]

Read More