Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti katika mazingira

Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti katika mazingira tunayoishi ili kusaidia kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.

Ushauri huo umetolewa na Afisa Misitu kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Michael Gwandu wakati akiongea na kituo hiki na  amesema ofisi hiyo ina mikakati mingi ya kuhakikisha misitu inatunzwa pamoja na mpango wa kuhaikisha kila kaya iwe na eneo la miti iliyopandwa hadi kufikia 2025

Aidha,Gwandu amesema kila mtu anapaswa kutekeleza sheria ya utunzaji wa misitu kutokana na ukubwa wa faida zake katika jamii.

About RHN 87.5FM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *