Utunzaji wa mazingiza Tarafa ya Daudi Mbulu Mkoani Manyara

Jamii imeshauriwa kupanda miti kwa wingi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwani shughuli za binadamu ndizo zinazochangia pa kubwa uharibifu wa mazingira.

Kufahamu zaidi kuhusu hilo mwanahabari wetu Benigna France amefanya mahojiano na mchungaji Methew Msaganda  wa kanisa la Adventist wa Sabato Daudi Mbulu Mkoani Manyara ambapo anaanza kueleza namna ambavyo mungu amempa mwanadamu jukumu la kuyatunza mazingira.

Ni sauti yake mchungaji Methew Msaganda wa kanisa la Adventist wa Sabato Daudi  akihitimisha mazungumzo na mwanahabari wetu Benigna France kuhusu Umuhimu wa kupanda miti ili kutunza mazingira.

About RHN 87.5FM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *