Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari kuandika habari kwa kutunza na kuheshimu mila na desturi za kiafrika.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari kuandika habari kwa kutunza na kuheshimu mila na desturi za kiafrika.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari kuandika habari kwa kutunza na kuheshimu mila na desturi za kiafrika. Akuzungumza leo katika maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani ambayo kitaifa imefanyikia jijini Arusha, Rais Samia amesema kukopa mila na desturi husababisha migongano isiyo ya lazima. Uhuru wa habari hauchagui mipaka hivyo pamoja na hilo waandishi wa habari wanatakiwa kuzingatia mila na desturi za kiafrika kuandika mazuri ikiwemo vivutio vyote vilivyomo. Amesema ni vyema wakaandika habari ka kuthamini rasilimali zilizopo Afrika ni vyema kujivunia rasilimali mlizonazo pamoja na kuzilinda. Katika maadhimisho hayo, Shirika la Umoja wa Mataifa la

Continue Reading

 Uvutaji sigara ni moja ya sababu zinazochangia watu kupata saratani za  koo

 Uvutaji sigara ni moja ya sababu zinazochangia watu kupata saratani za  koo, kinywa  na moyo na kuibebesha Serikali na familia mzigo mzito wa matibabu kwa watu waliopata magonjwa hayo Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, matumizi ya tumbaku huua zaidi ya watu milioni 8 kwa mwaka Kuna karibu watumiaji bilioni 1.3 wa tumbaku ulimwenguni na zaidi ya 80% yao wanaishi katika nchi za kipato cha chini na cha kati. kufahamu mengi zaidi unga nami mwanahabari wako BENIGNA FRANCE KUTOKA HAPA RADIO HABARI NJEMA.

Continue Reading

Rais samia suluhu ameeleza mafanikio katika safari yake nchini marekani,

Rais samia suluhu ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika safari yake nchini marekani, ikiwepo kusaini mikataba na wawekezaji yenye thamani ya sh trilioni 11.7. akizungumza leo baada ya kuwasili nchini na ndege ya qatar airways katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (kia), rais samia amewataka watanzania kujiandaa kuwapokea wawekezaji hao wakija nchini. rais samia amesema wawekezaji hao kama wakija nchini, wanatarajiwa kutoa ajira kwa watu  laki tatu na elfu moja [301,000.] kuhusu sekta ya utalii amesema baada ya kuathirika na uviko-19 sasa watalii wameanza kuongezeka sambamba na mapato. amesema watalii wameongezeka kutoka 620,866 mwaka 2020 hadi 922,692 mwaka 2021 na

Continue Reading

mkuu wa jeshi la polisi nchini igp simon sirro, ana haya yakusema

mkuu wa jeshi la polisi nchini igp simon sirro, amesema kwamba mwananchi yeyote atakayefanikisha kutoa taarifa na kukamatwa kwa mtuhumiwa anayejihusisha wizi wa mifugo na uhalifu wa kutumia silaha atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni moja. Igp sirro amesema hayo akiwa jijini arusha wakati akizungumza na maofisa waandamizi wa wa jeshi hilo, ambapo pia akatumia nafasi hiyo kuwataka wafungwa wanaopata msamaha wa rais kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi kwa kutojihusisha tena kwenye makosa ya uvunjifu wa sheria na kuwa kero kwa wananchi kwa kufanya vitendo vya kihalifu. katika hatua nyingine igp sirro, amewataka bodaboda kufuata sheria za usalama barabarani

Continue Reading

Halmashauri ya mji wa mbulu imeadhimisha miaka 58 kwa kupanda katika eneo la chuo cha tango ili kutunza mazingira.

Halmashauri ya mji wa mbulu mkoani manyara, imeadhimisha miaka 58 kwa kupanda katika eneo la chuo cha tango ili kutunza mazingira. hayo yamesemwa na mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa mbulu mwalimu peter sule alipokuwa akizungumza na kituo hiki. amesema kuwa wao kama viongozi wa halmashauri wakishirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya waliamua kupanda miti kama ishara ya umoja katika kuenzi na kuudumisha muungano. hapo tarehe 26 aprili tanzania imeadhimisha miaka 58 ya muungano wa tanganyika na zanzibar.

Continue Reading

Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatazamia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour itakayofanyika leo tar 28/4/2022 katika ukumbi wa Kimataifa AICC Mkoani Arusha Akizungumza na waandishi wa habari mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela amesema kuwa maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa na kuwataka wananchi kujitokeza kumpokea.Rais anzia uwanja wa ndege wa Kia. Kwa Upande wake Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo alisema kuwa wageni wote wasiwe na hofu ulinzi umeimarishwa Aidha Masejo amesema kutokana na tukio la Kitaifa hivyo Jeshi la Polisi nchini kwa Kushirikiana na

Continue Reading

wabunge wamlilia aliyekuwa mbunge wa viti maalum irene alex

 Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Philip Isdori Mpango, amewaongoza wa Bunge kuagwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Rukwa marehemu Irene Alex Ndyamkama.

Continue Reading

Watumiaji na Wanufaika wa Ziwa Babati Mkoani Manyara wameshauriwa kutumia Ziwa kwa kufuata taratibu za utunzaji wa mazingira

Watumiaji na Wanufaika wa Ziwa Babati Mkoani Manyara wameshauriwa kutumia Ziwa hilo kwa kufuata taratibu za utunzaji wa mazingira ili kuepuka uharibifu wa chanzo cha Maji na Samaki wanaopatikana katika Ziwa hilo.Ushauri huo umetolea na Afisa Misitu Mkoa wa Manyara  ambaye ni Msimamizi wa Mazingira Michael Gwandu wakati akiongea na kituo hiki. Amesema wakati Serikali ikiendelea na jitihada za kurudisha hadhi ya Ziwa Babati ameiasa jamii kutumia njia sahihi katika shughuli za uvuvi ili kuepuka athari zitakzojitokeza. Licha ya  ziwa Babati kuwa  miongoni mwa vyanzo vya maji vilivyopo katika mkoa wa manayara na kuwanufaisha wananchi kutokana na  uvuvi limekuwa likiathiriwa na

Continue Reading

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya sensa ya watu na makazi itakayofanyika Agosti 23, 2022 hadi sasa yamefikia asilimia 81

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya sensa ya watu na makazi itakayofanyika Agosti 23, 2022 hadi sasa yamefikia asilimia 81. Majaliwa ameyasema hayo wakati wa sherehe za miaka 58 ya muungano wa Tanzania na Zanzibar. Waziri Mkuu ametoa wito kwa Watanzania kufanya maandalizi ya siku hiyo na kuwa tayari kuwapokea wataalam wa sensa nchini kwa ajili ya kuhesabiwa. Amesema kuwa kwa lugha nyingine atakayeshindwa kuhesabiwa ni kujinyima fungu lako katika mipango ya maendeleo nchini kwa sababu sensa ni kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.

Continue Reading

rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mama samia suluhu hassan ametoa msamaha kwa wafungwa

Rais  wa jamhuri ya Muungano wa tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 3, 826 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni imeeleza kuwa msamaha huo unaenda sambamba na masharti ikiwa ni pamoja na wafungwa wote kupunguziwa robo ya vifungo vyao. Pia ametaja wafungwa wengine na masharti ya msamaha huu ni kwa wagonjwa wenye magonjwa ya kudumu uliothibitishwa na waganga chini ya mwenyekiti mganga mkuu wa mkoa au wilaya na wawe wametumikia robo ya vifungo vyao. Amewataja wafungwa wazee wenye umri wa

Continue Reading