Kardinali Becciu Ajiuzulu; Aondolewa Haki Za Ukardinali!
Papa Francisko ameridhia ombi la kujiuzulu kutoka madarakani lililowasilishwa kwake na Kardinali Giovanni Angelo Becciu, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa…
Taarifa Kwa Umma Toka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kuhusu Zoezi La Kupitia na Kufanya Uamuzi wa Rufaa za Wagombea Ubunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge zilizowasilishwa na…
Waziri Mkuu Mstaafu Pinda azindua Kampeni za Ccm Babati Mjini, amnadi Gekul.
Mlezi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Manyara, Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda amewataka…
Corona yaongezeka Kenya
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya corona na kuamuru shule zote zifungwe.…
Dr. Bashiri Ateta
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe,…
Tuhuma kwa Meya – Iringa
Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka. Hatua hiyo…
Tuzo Nyingine kwa Dkt. Magufulu
Shirika lisilo la Kiserikali la Kuinua Diplomasia ya Uchumi Tanzania (TEDEF) limetambua juhudi na kuthamini kazi anazofanya Rais wa Jamhuri…