Kiongozi mwanaharakati Ahmed Kathrada afariki dunia
Kiongozi mwanaharakati aliyeshiriki kupigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Ahmed Kathrada amefariki dunia akiwa na…
Waziri January Makamba awapa matumaini wafugaji-Monduli
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )January Makamba amesema Monduli ni moja ya wilaya zitakazonufaika…
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Biharamulo-Kagera yatoa amri
Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya Ya Biharamulo Mkoani Kagera imeapa kuhakikisha wafugaji wote ambao wamekaidi kuondoka katika mapori ya…
Waziri Mkuu afanya ziara kwenye mgodi wa dhahabu wa Buzwagi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara kwenye mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na kuchukua…
Serikali wilayani Kiteto Mkoani Manyara yaanza msako
Serikali Wilayani Kiteto Mkoani Manyara imeanza msako wa kuwasaka watoto ambao hawajapelekwa shuleni ili waweze kupatiwa haki yao ya kimsingi.…
Misaada yaendelea Peru
Misaada mbalimbali ya kibinadamu imeanza kuwafikia watu wanaokabiliwa na mahitaji mbalimbali, baada ya nchi ya PERU kukumbwa na mafuriko mabaya…
Watu takriban 20 wamefariki dunia -Kintampo, Ghana
Watu takriban 20 wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya mti mkubwa kuwaangukia wakiogelea katika maporomoko ya maji eneo…
Kamati za bunge zaanza vikao vyake mjini Dodoma
KAMATI za Kudumu za Bunge zimeanza shughuli zake mjini Dodoma hadi Aprili 2, mwaka huu kabla ya kuanza kwa Mkutano…
Rais Magufuli amtaka Makonda kuendelea kuchapa Kazi
Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii…
Msiba wa Diwani – Mbulu
Wananchi wa wilaya ya MBULU mkoani MANYARA wameeleza kusikitishwa na kifo cha diwani wa viti maalumu wa chama cha demokrasia…