Msiba wa Diwani – Mbulu

Wananchi wa wilaya ya MBULU mkoani MANYARA wameeleza kusikitishwa na kifo cha diwani wa viti maalumu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMABi SUZAN MIGIRE aliyefariki dunia tarehe 19 march 2016 katika hospitali ya rufaa ya HYDOM Sikiliza hapa Z0000132

Read More