Sumaye Ang’atuka

Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye leo Desemba 4, 2019 ametangaza kuondoka CHADEMA. Akiongea leo kwenye mkutanao wake na waandishi wa Habari, Sumaye amesema ameamua kufanya hivyo kutokana na figisu alizofanyiwa baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa. Ameeleza kuwa alitaka kugombea nafasi ya Uenyekiti ili kuondoa dhana iliyopo miongoni mwa […]

Read More

RPC Manyara atembelea Ofisi za Radio Habari Njema

Furahia matukio katika picha ambapo leo Tarehe 6 -04-2019,Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Augustino Senga amefika Redio Habari Njema na kuzungumzia masuala mbalimbali ya hali ya usalama katika Mkoa wa Manyara. Akiwa ameandamana na timu ya makamanda wa usalama Mkoa na wilaya ya Mbulu Naye alikuwa na haya ya kusema:   Sisi pamoja na […]

Read More

Ujumbe wa Papa Francis: Mungu anawapenda , Kanisa linawahitaji

Kristo ni hai na anataka uwe hai! “Mstari wa ufunguzi wa Ushauri wa Mitume uliweka sauti na maudhui ya ujumbe wa Papa. Lakini mistari ya kufungwa ni nini kufanya hati hiyo kuwa “ushauri” kwa maana halisi ya neno: “Kanisa inahitaji umuhimu wako, intuitions yako, imani yako”, anaandika Papa Francis “. “Na unapokuja ambapo hatujafikia, uwe […]

Read More

Serikali Kuendelea Kuimarisha Upatikanaji Wa Maji Safi Na Salama Nchini

Serikali imedhamiria kuimarisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi waishio mijini kufikia asilimia 95 na vijijini asilimia 85 ifikapo 2020. Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Hassan Suluhu wakati wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Aprili 2, 2019 zilizofanyika uwanja wa […]

Read More

Onyo kwa Wakurugenzi latolewa na Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaonya Wakurugenzi ambao watanaoesha nia kudai ushuru kufuatia uamuzi wa Serikali, kununua zao la korosho kwa bei elekezi ya shilini 3300, baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya wakulima na wafanyabiashara wa korosho.  Magufuli ametoa kauli hiyo akiwa mkoani Mtwara wakati akizungumza kwenye […]

Read More

Uchaguzi ARUMERU Kwa Joshua Nassari

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uchaguzi mdogo katika jimbo la Arumeru Mashariki ni Mei 19, 2019. Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili Machi 31, 2919 mkoani Morogoro amesema tume ilipokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge la Tanzania ambaye kwa kuzingatia kifungu cha 37(3) cha sheria […]

Read More

FURSA: Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2018 ruksa kubadilisha(Combination)

Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2018 ruksa kubadilisha(Combination): Imewekwa Tar.: March 29th, 2019 Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2018 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa mwaka 2019 kubadilisha Tahsusi(Combination). Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa […]

Read More

Walimu wa Moi Girls wafanyiwa uchunguzi wa DNA Kenya katika kesi ya ubakaji wa mwanafunzi

Image captionMaandamano yamefanyika mjini Nairobi siku ya Jumatatu kulalamika kuhusu tuhuma za ubakaji katika shule ya Moi Girls Nairobi Walimu pamoja na wafanyakazi wengine wakiume katika shule ya upili ya Moi Girls Nairobi wametakiwa kufanyikwa uchunguzi wa DNA wakati maafisa wa upelelezi wanajaribu kuchunguza tuhuma za kubakwa kwa mwanafunzi katika shule hiyo Ijumaa usiku. Polisi […]

Read More

Mbunge Chadema Airushia Tuhuma Nzito Wizara ya Fedha

Mbunge wa Momba (Chadema), David Salinde amesema Wizara ya Fedha na Mipango ndio adui namba moja wa maendeleo ya Taifa na kushauri Bunge liichukulie hatua ili kutekeleza maagizo yake. Silinde akichangia bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ya mwaka 2018/19, jana Juni 4, 2018 bungeni, alisema: “Kwa lugha nyepesi kabisa, adui namba moja ni […]

Read More

Spika Ndugai Aionya Serikali….Atishia Kuzuia Mkutano wa Bunge Mwezi Oktoba

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameitaka serikali kuhakikisha inatekeleza agizo lake la mwishoni mwa mwaka jana kuhusu kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuitangaza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi vinginevyo atazuia kufanyika kwa mkutano ujao wa Bunge. Novemba 17, mwaka jana, Spika Ndugai aliitaka serikali kuhakikisha muswada huo unasomwa kwa mara ya kwanza katika […]

Read More